Karenzi Karake akamatwa Heathrow
Mkuu wa upelelezi nchini Rwanda,ambaye alikuwa anasakwa nchini Hispania kwa makosa ya uhalifu wa kivita,sasa amekamatwa mjini London. Kitengo cha habari cha BBC cha BBC Newsnight, kimegundua kwamba...
View ArticleUrais 2015: Profesa Muhongo Aumbuka CCM Makao Makuu
Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), na Waziri aliyejiuzulu kutokana na kashfa ya uchotwaji wa mabilioni ya fedha katika Akaunti ya Tegeta Escrow, Profesa Sospeter Muhongo, jana aliumbuka baada ya...
View ArticleBurundi kuendelea na ratiba ya uchaguzi
Serikali ya Burundi imesema haitashiriki katika mazungumzo yaliyodhaminiwa na Umoja wa Mataifa yakilenga kupunguza hali ya uhasama uliopo kabla ya kufanyika kwa uchaguzi wenye utata. Waziri wa mambo...
View ArticleDavid Kafulila Amwandikia Barua Spika kudai ripoti ya mabehewa Feki
MBUNGE wa Kigoma Kusini, David Kafulila (NCCR-Mageuzi), amemuandikia barua Spika wa Bunge, Anne Makinda, kudai aielekeze Serikali kuleta ripoti ya uchunguzi wa tuhuma za ununuzi wa mabehewa kabla ya...
View ArticleWananchi wala ubuyu kutokana na njaa-Manyoni
MBUNGE wa Manyoni Mashariki, Kapteni John Chiligati, amesema baadhi ya wananchi jimboni kwake wameanza kula ubuyu kutokana na kukabiliwa na tatizo la njaa. Katika swali lake bungeni jana, Mbunge huyo...
View ArticleMwakyembe, Jaji Ramadhani wagongana Tanga
WAZIRI wa Afrika Mashariki, Dk. Harrison Mwakyembe na Jaji Mkuu Mstaafu, Augustino Ramadhani, jana walikuwa mkoani Tanga kwa ajili ya kusaka wadhamini ili waweze kukamilisha sharti la kuomba ridhaa...
View ArticleWema Sepetu Amtaja Mtu Anayemzuia Kupata Mimba
Ishu ya Miss Tanzania 2006, Wema Sepetu kutopata ujauzito imeshazungumzwa mara kadhaa na hata yeye mwenyewe alishawahi kujitokeza na kuizungumzia lakini safari hii amelizungumzia kwa njia tofauti....
View ArticleSugu Atoa Chozi Bungeni kisa Mtoto Wake ……..Naibu Spika Aamuru Mjadala wa...
Mbunge wa Mbeya Mjini Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ amejikuta akiangua kilio bungeni baada ya kutoa hoja binafsi kumjibu Mbunge wa viti maalum wa Singida ‘CCM’ Martha Mlata, aliyemshutumu kwa kumpora mtoto...
View ArticleMwandosya Arejesha Fomu za Urais
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais (Kazi Maalumu), Profesa Mark Mwandosya amerejesha fomu zake za kuwania kupeperusha bendera ya CCM katika nafasi ya urais. Akizungumza na waandishi wa habari baada ya...
View ArticleMashine ya BVR Yaibiwa Jijini Mwanza, wawili watiwa mbaroni
Watu wasiojulikana usiku wa kuamkia jana, waliiba mashine moja inayotumika kwa ajili ya kuandikishia vitambulisho katika daftari la kudumu la wapiga kura (BVR) katika kata ya Kayenze wilayani Magu...
View ArticleH Bridge motor control circuit using L298
Description : A bidirectional H bridge DC motor control circuit is shown here. The circuit is based on the IC L298 from ST Microelectronics. L298 is a dual full bridge driver that has a wide operating...
View ArticleACT-Wazalendo Kurudisha Mashamba ya Mkonge kwa Wananchi
CHAMA cha ACT-Wazalendo kimesema kina shabaha ya kurejesha kwa wananchi mashamba ya mkonge yaliyouzwa kwa matajiri wachache ambao kwa sasa hawayatumii kwa kilimo cha zao hilo. Pia chama hicho...
View ArticleNCCR- Mageuzi Wasema Hawana Mpango wa Kujitoa UKAWA
CHAMA cha NCCR-Mageuzi kimesema hakitajitoa katika Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) pamoja na kuwapo kwa vikwazo vya ugawaji wa madaraka ndani ya umoja huo. Akizungumza katika kikao cha Kamati...
View ArticleBunge linapochemka ndio raha yetu- Lissu
Dodoma . Bunge la 10, ambalo linamaliza kazi yake Julai 8 kabla ya kuvunjwa siku moja baadaye, lilikuwa na mengi, lakini mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu anasema kilichowafurahisha wapinzani...
View ArticleKumekucha CCM: Baraza la Ushauri la Wazee( Mkapa, Mwinyi na Wengine) Kukutana...
Hatimaye kile kikao cha Baraza la Ushauri la Wazee wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinachowahusisha pia marais wastaafu Ali Hassan Mwinyi na Benjamin Mkapa, kinatarajiwa kufanyika wakati wowote wiki hii...
View ArticleTrace TV kuionesha video ya Chekecha ya Alikiba mara ya kwanza leo
Video ya wimbo wa Alikiba ‘Chekecha Cheketua’, itaoneshwa kwa mara ya kwanza kwenye kituo cha runinga cha Ufaransa, Trace TV Jumatatu hii. Video hiyo imeongezwa na muongozaji wa video za muziki wa...
View ArticleWalimu wanyolewa sehemu za siri kishirikina
WALIMU katika shule ya msingi Nambaza Kata ya Nansimo wilayani Bunda, wamesema watahama shule hiyo endapo serikali ya wilaya hiyo haitachukua hatua madhubuti kukomesha ushirikina shuleni hapo....
View ArticleMajibu ya Zari kwa wanaomshutumu kutoheshimu Mwezi wa Ramadhan yanashtua
Zari the Bosslady amejikuta kwenye kitimoto kutokana na mashabiki kumshambulia mtandaoni kwa mavazi yake katika mwezi mtukufu wa Ramadhan. Mama huyo mtarajiwa wa mtoto wa Diamond amelazimika kutumia...
View ArticleDira ya Dunia Tv kuzindua sura mpya leo
Idhaa ya Kiswahili ya BBC Swahili itazindua sura mpya ya “Dira ya Dunia” leo! Kipindi hicho kinachopeperusha taarifa ya habari kwa zaidi ya watazamaji milioni 6.9 itakuwa na sura mpya inayojumuisha...
View ArticleGatlin aweka mda bora mita 200
Mwanariadha wa mbio fupi Justin Gatlin ameweka mda bora zaidi katika mbio za mita 200 na kuwa wa tano duniani aliposhinda mbio hizo nchini Marekani. Raia huyo wa Marekani mwenye umri wa miaka 33...
View Article