Madada 3 wa Bradford waliingia Syria
Madada watatu kutoka mjini Bradford nchini Uingereza na watoto wao tisa wanaohofiwa kusafiri kuelekea nchini Syria wamevuka mpaka ,mfanyibiashara mmoja wa kusafirisha bidhaa kwa njia ya magendo...
View ArticleKliniki ya wanaume waliobakwa Sweden
Hospitali moja mjini Stockholm nchini Sweden inatarajiwa kufungua kliniki ya kwanza ya wanaume waliobakwa. Hospitali ya South General Hospital tayari ina eneo linalotoa huduma ya dharura kwa wanawake...
View ArticleRaia wa Liberia awania uongozi wa FIFA
Mwenyekiti wa shirikisho la soka nchini Liberia Musa Bility ametangaza mpango wake wa kutaka kuwania urais wa shirikisho la soka duniani FIFA akisema ni wakati wa Afrika kuongoza. Afisa huyo mwenye...
View ArticleJaji Ramadhani awavuruga wagombea urais CCM
Dar es Salaam. Hatua ya Jaji Mkuu wa zamani wa Tanzania, Augustino Ramadhani kujitosa kuchukua fomu za kuomba kuteuliwa na CCM kuwania urais imewavuruga wagombea wenzake wa urais na kuibua mjadala...
View ArticleMbowe: Nitagombea tena ubunge Hai
Hai. Siku moja baada ya kuhukumiwa kulipa faini Sh1 milioni au kwenda jela mwaka mmoja kwa kosa la shambulio la kawaida dhidi ya aliyekuwa mwangalizi wa ndani wa uchaguzi mkuu uliopita, Mbunge wa Hai...
View ArticleGodbless Lema Apata mpinzani Arusha ……Aja na Kauli mbiu "Chagua maendeleo...
HARAKATI za kuwania ubunge katika Jimbo la Arusha Mjini zimeanza baada ya kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mustafa Abdulla Panju, kutangaza rasmi nia ya kugombea nafasi hiyo akiwa na kauli mbiu ya...
View ArticleNape Amshambulia Freeman Mbowe……..Amtaka AJIUZULU Maana Amekiabisha Chama Kwa...
KATIBU wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Nape Nnauye amemtaka Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe kujiuzulu uenyekiti kwa kile alichosema...
View ArticleJaffarai Feat Kassim Mganga Wakati Official Music Video
FOLLOW INSTAGRAM@sosteneslekule [via LEKULE] Follow us @automobileheat – lists / @sectorheat
View ArticleNCHI YA AHADI KALA JEREMIAH ft ROMA officialvideo
FOLLOW INSTAGRAM@sosteneslekule [via LEKULE] Follow us @automobileheat – lists / @sectorheat
View ArticleShilole Malele Official Video
FOLLOW INSTAGRAM@sosteneslekule [via LEKULE] Follow us @automobileheat – lists / @sectorheat
View ArticleUse an Arduino to Control a Motor
FOLLOW INSTAGRAM@sosteneslekule [via LEKULE] Follow us @automobileheat – lists / @sectorheat
View ArticleUse an Arduino to Control a Motor 2
FOLLOW INSTAGRAM@sosteneslekule [via LEKULE] Follow us @automobileheat – lists / @sectorheat
View ArticleUsing the Arduino’s Analog I O 2
FOLLOW INSTAGRAM@sosteneslekule [via LEKULE] Follow us @automobileheat – lists / @sectorheat
View ArticleVideo ya Mwigizaji Lulu Michael Akicheza Wimbo wa Diamond yazua Gumzo Mi…
FOLLOW INSTAGRAM@sosteneslekule [via LEKULE] Follow us @automobileheat – lists / @sectorheat
View ArticleYamoto Band Nisambazie Raha Official Video
FOLLOW INSTAGRAM@sosteneslekule [via LEKULE] Follow us @automobileheat – lists / @sectorheat
View ArticleMatonya Feat Rich Mavoko Mule Mule Official Music Video
FOLLOW INSTAGRAM@sosteneslekule [via LEKULE] Follow us @automobileheat – lists / @sectorheat
View ArticleEgypt vs Tanzania 3 0 All Goals and Highlights 14 6 2015
FOLLOW INSTAGRAM@sosteneslekule [via LEKULE] Follow us @automobileheat – lists / @sectorheat
View ArticleKesi ya Askari Polisi Kuiba silaha, Risasi Yaahirishwa
KESI ya wizi wa silaha aina ya SMG na risasi zake 42 inayomkabili aliyekuwa Konstebo wa Polisi, GX 7274, Hamad Taimu Shilingi (25) katika Mahakama ya Wilaya ya Sumbawanga mkoani Rukwa imeahirishwa...
View ArticleBaraza kuu la waislamu Tanzania (BAKWATA) lamteua Sheikh Aboubakar Zuberi...
Baraza kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) asubuhi ya leo limemteua Sheikh Aboubakar Zuberi kuwa Mufti Mpya wa muda. Sheikh Zuber atashikilia nafasi hiyo kwa muda wa miezi mitatu (siku 90) kuelekea...
View ArticleAmina Salum Ali ampigia chapuo Dk Shein
Dar es Salaam. Balozi Amina Salum Ali amesema Rais wa Zanzibar anayemaliza muda wake, Dk Ali Mohamed Shein bado anastahili kupewa nafasi ya kuongoza Wazanzibari. Balozi Amina ambaye ni Balozi wa...
View Article