Haya ndio maneno ya H. Baba kuhusu video mpya ya Ali kiba ‘Chekecha’
Muimbaji Hamis Baba aka H Baba leo ameamua kuandika kwenye ukurasa wake Instagram kuhusu video mpya ya Ali Kiba iitwayo Chekecha iliyochezwa kama ‘Exclusive’ June 29 kwenye kituo cha luninga maarufu...
View ArticleUrais 2015: Lowassa afunga mahesabu ya Wadhamini Morogoro
Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa amehitimisha safari ya kusaka wadhamini katika mikoa 15 ya Tanzania bara na mitatu ya visiwani Zanzibar. Akiwa Mkoani Morogoro Lowassa amepata wanaccm 104,038...
View ArticleMsamibaby Yala yala
FOLLOW INSTAGRAM@sosteneslekule [via LEKULE] Follow us @automobileheat – lists / @sectorheat
View ArticleThe Rock ameweka wazi sababu za yeye kuacha mchezo wa mieleka…
Dwayne Johnson maarufu kama The Rock ni mwigizaji, movie producer na mchezaji mieleka kutoka Marekani aliejitengenezea jina kubwa kwenye mieleka na kufanya apate shavu kubwa kwenye movie za...
View ArticleMbunge Aiomba Serikali Ipige Marufuku Pombe za Kienyeji na Za Viwandani ( Bia)
MBUNGE wa Mji Mkongwe, Ibrahim Sanya (CUF), ameitaka Serikali kupiga marufuku unywaji wa pombe kwa kuwa ni kichocheo cha maambukizi ya Virusi vya Ukimwi (VVU). Akiuliza swali bungeni jana, Sanya...
View ArticleWanafunzi 18,751 wakosa nafasi kidato cha tano
Dar es Salaam . Wanafunzi 18,751 waliofaulu mtihani wa kidato cha nne mwaka 2014, wamekosa nafasi ya kujiunga na shule za kidato cha tano kwa sababu mbalimbali ikiwamo ufinyu wa nafasi. Kati ya hao,...
View Article50 Cents awadiss Diddy, Waandaaji wa BET pamoja na kituo cha TV cha Fox
Kumbe sio tu wasanii wa bara la Afrika waliochukizwa na uandaaji na uendeshaji mzima wa shughuli za tuzo za BET, zilizofanyika jumapili ya june 28 mwaka huu kwamba hawakuwafanyia haki wanamuzi na...
View ArticlePolisi Yanasa Mtambo Wa Kutengeneza Bunduki
POLISI mkoani Rukwa imewakamata watuhumiwa 19 na silaha za aina mbalimbali zikiwemo bunduki 30, risasi 231 pamoja na mtambo wa kutengeneza bunduki za kienyeji. Katika msako uliofanywa na Polisi...
View ArticleCHADEMA Yaibwaga CCM Mahakamani……..Matokeo ya Uchaguzi Wenyeviti 16 Yatenguliwa
Chama cha Mapinduzi (CCM), Wilaya ya Simanjiro mkoani Manyara imezidi kupata pigo baada ya Mahakama kutengua matokeo ya uchaguzi wa wenyeviti wa vitongoji 16 vya mji mdogo wa Mirerani, kwa maelezo...
View ArticleGhana yazindua gari lake
Wakati unapoangazia swala la utengezaji magari mataifa ya Afrika kwa kawaida hayaorodheshwi katika swala hilo. Lakini hilo sasa huenda likabadilika kufuatia kuwasili kwa kampuni ya magari ya Ghana...
View ArticleKahaba kwa miaka 25
Brenda Myers-Powell alikua mtoto wakati alipoanza kufanya ukahaba katika miaka ya sabini. Alizaliwa eneo la Chicago, Marekani na mamake mzazi alifariki dunia akiwa na miezi sita pakee. Hapo...
View ArticleMzee Majuto Adai Kushobokewa na Vibinti
Staa mkongwe kunako filamu Bongo, Amri Athuman ‘Mzee Majuto’ amefungukia shutuma anazopewa na mashabiki wake kwa kupenda kuonekana na ‘vibinti’ kuwa wanamshobokea mwenyewe. Mzee Majuto ambaye kifani...
View ArticleAfande Sele aeleza atakavyokuwa tofauti na wasanii wengine walioingia bungeni
Afande Sele amesema akiingia bungeni hawezi kuwasahau wasanii wenzake kama walivyosahauliwa na wasanii wabunge waliotangulia kuingia mjengoni. Rapper huyo atawania kiti cha ubunge wa jimbo la...
View ArticleAmuua Mwenzake Kwa Kisu Wakigombea Mwanamke
WATU watatu wamekufa katika matukio matatu tofauti katika Wilaya za Tarime na Rorya akiwemo mtu aliyeuawa wakati wanagombania mwanamke. Waliokufa ni Chacha Mwita (24) aliyechomwa kisu kifuani na...
View ArticleAtiwa Mbaroni Akituhumiwa Kumuua Baba Yake kwa Shoka
MKAZI wa kijiji cha Igongwa wilayani Maswa mkoani Simiyu, Majingwa Ndushi (32) amekamatwa na jeshi la Polisi baada ya kutoroka akikwepa kufikishwa mahakamani kwa tuhuma ya kumuua baba yake mzazi,...
View Article.Ukawa: NEC inatuvurugia mipango majimboni
Dar es salaam. Mwenyekiti mwenza wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), ameishukia Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kwa kushindwa kutangaza mgawanyo wa majimbo, akisema kuchelewa huko kunavuruga...
View ArticleNyumba ya mwandishi wa Nyerere yauzwa kinyemela
Dar es Salaam. Nyumba ya aliyekuwa mwandishi wa habari wa Mwalimu Julius Nyerere, Paul Sozigwa imeuzwa katika mazingira ya kutatanisha na mke wake Monica Kuga baada ya mwanahabari huyo kupata maradhi...
View ArticleZitto aanika majina mabilioni ya Uswisi
Dar es Salaam. Kiongozi mkuu wa chama chama cha ACT – Wazalendo, Zitto Kabwe jana alianika orodha ya majina ya watu wanaotuhumiwa kuhodhi akaunti zenye mabilioni ya fedha nje ya nchi, lakini akasita...
View ArticleDr Shein Apitishwa Kuwa Mgombea Urais wa Zanzibar Kupitia CCM.
Kamati kuu maalum ya chama cha mapinduzi Zanzibar kwa kauli moja imempitisha Dr Ali Mohamed Shein kuwa mgombea urais wa Zanzibar kupitia chama cha mapinduzi. Hatua hiyo imefikiwa baada ya wajumbe wa...
View ArticleSoko la hisa China kuwatisha Wawekezaji
Licha ya hatua ya serikari kuyachepua masoko ya fedha katika siku za hivi karibuni, hali ya wasiwasi imezuka kwa wawekezaji nchini China kutokana na kushuka kwa hisa kwa masoko ya fedha nchini humo....
View Article