Sita wafa katika ajali, 45 wajeruhiwa Singida
WATU sita wamekufa na wengine 45 kujeruhiwa katika ajali mbili tofauti za barabarani zilizotokea juzi na jana mkoani Singida. Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Singida, Thobias Sedoyeka alisema mjini...
View ArticleMwanaharakati anayejifanya mtu mweusi
Wazazi wa mwanaharakati mmoja wa haki za raia nchini Marekani wamesema kuwa anajifanya kuwa mtu mweusi kwa miaka kadhaa sasa. Rachel Dolezal analifanyia kazi shirika liitwalo National Association for...
View ArticleVyama 17 kususia uchaguzi Burundi
Kundi moja la vyama 17 nchini Burundi limekubaliana kususia uchaguzi mkuu wa mwezi ujao likisema kuwa hautakuwa huru na haki. Upinzani unasema kuwa rais Pierre Nkurunziza hafai kuwania muhula wa tatu....
View ArticleOrodha kamili ya washindi wa Kilimanjaro Music Awards 2015……..Ali Kiba...
Hii ni orodha kamili ya washindi wa tuzo za muziki Tanzania Kilimanjaro Music Awards 2015 zilizofanyika 13 June 2015 Mlinani City jijini Dar es salaam. 1. KIKUNDI BORA CHA MWAKA – BONGO FLEVA – YAMOTO...
View ArticleFloat and Boost Charging of Batteries
Float charging is used where the battery rarely gets discharged. A typical application where float charging can be used would consist of the float charger, battery and the load in parallel. During...
View ArticleBattery Testers – An Overview
Battery Testers are used in the automobile industry to test the battery. These testers work by measuring the maximum CCA ( Cold Cranking Amps) the battery can provide. Prior to the test, a selection...
View ArticleFaiza Ally Awaacha Watu hoi Tuzo za Kill 2015
Mwanadada faiza ally amezua gumzo kwenye fainali tuzo za Kilimanjaro music Award zilizofanyika usiku wa kuamkia jana katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es salaam. Mwanadada huyo alitinga kwenye...
View ArticleAl Shabaab 1 raia wa UK auawa Kenya
Utafiti wa DNA unatarajiwa kuthibitisha kuwa mmoja wa wapiganaji 11 wa Al shabaab waliouawa na wanajeshi wa Kenya hapo jana alikuwa ni raia wa Uingereza. Duru za kijasusi za jeshi la Kenya zinasema...
View ArticleAmama Mbabazi atampinga rais Museveni
Raisi Museveni Waziri mkuu wa zamani wa Uganda Amama Mbabazi atampinga rais Yoweri Museveni kuwania tikiti ya urais wa chama cha NRM. Bwana Amama Mbabazi anataka kuwania kiti cha urais dhidi ya...
View ArticleMwili wa Sheikh Mkuu wa Tanzania, Mufti Alhaj Sheikh Shaban Issa Bin Simba...
MWILI wa Mufti ,Alhaj Sheikh Shaban Issa Bin Simba unataraji kusafirishwa kesho Jumanne Juni 16, kuelekea mkoani Shinyanga kwa ajili ya taratibu za mazishi. Akizungumza na waandishi wa habari kwenye...
View ArticleJeb Bush kugombea urais Marekani
Mwanasiasa wa chama cha Republican, na gavana wa jimbo la Florida, Jeb Bush ametangaza rasmi ametangaza rasmi nia yake ya kuwania nafasi ya urais wa taifa hilo kubwa duniani kiuchumi kwa tiketi ya...
View ArticleWakurd waukomboa mji wa Tel Abyad, Syria
Wapiganaji wa KiKurd, YPG, kaskazini mwa Syria wanasema wanaudhibiti kikamilifu mji wa kimkakati wa mpakani wa Tel Abyad kutoka kwa wapiganaji wa kundi la Islamic State. Kamanda wa wanamgambo wa...
View ArticleBasi la timu ya Taifa, Taifa Stars Lapigwa Mawe.
Watu wasiojulikana wamelishambulia kwa mawe basi la timu ya soka ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars maeneo ya Kariakoo, jijini Dar es Salaam. Basi hilo lililokuwa limebeba baadhi ya wachezaji wa timu...
View ArticleRais Kikwete Aongoza Maziko ya Sheikh Mkuu wa Tanzania Muft Issa Shaaban Simba
Rais Jakaya Kikwete jana jioni ameongoza maziko ya sheikh mkuu wa Tanzania Muft Issa Shaaban Simba aliyefariki jana katika hospitali ya TMJ jijini Dar es salaam. Maziko hayo yalifanyika katika...
View ArticleConfirmed: Wema Sepetu Kugombea Ubunge Mwaka Huu.
Miss Tanzania 2006 na muigizaji wa filamu, Wema Abraham Sepetu jana June 16 kupitia kipindi cha Ala za Roho ya Clouds FM alifunguka kuhusiana na kuchukua fomu ya ubunge wa viti maalumu mkoani Singida...
View ArticleMsajili avinyoshea kidole vyama vya siasa, ataka viheshimu Sheria ya Uchaguzi
Msajili wa vyama ya Siasa nchini, Jaji Francis Mtungi akizungumza wa waandishi Dar s Salaam jana kuhusu gharama ya sheria za uchaguzi mkuu wa mwezi Oktoba. Kushoto ni Msajili Msaidizi gharama za...
View ArticleProf Lipumba, Zitto DK Slaa, kuvaana kwenye mdahalo
Dar es Salaam. Umoja wa watendaji wakuu wa kampuni wa CEO RoundTable (CEOrt) umeandaa mdahalo wa kuzungumzia mbio za urais utakaowahusisha viongozi wa vyama vya upinzani, Profesa Ibrahim Lipumba, Dk...
View ArticleBoko Haram lawaua watu 38 nchini Niger
Wapiganaji wa kundi la Boko Haram kutoka Nigeria wamewaua watu 38 katika shambulio katika vijiji viwili kusini mwa Niger. Mbunge wa eneo hilo, Bullu Mammadu, ameiambia BBC kuwa wanawake na watoto...
View ArticleMo Farah alikosa kufanyiwa ukaguzi 2010
Medali za dhahabu alizoshinda mwanariadha wa Uingereza Mo Farah huenda ndizo zilizotawala mbio za mwaka 2012 mjini London.Lakini sasa huenda dhahabu hizo zipo hatarini. Kulingana na gazeti la Daily...
View ArticleMan City yatoa milioni 35 kumnunua Sterling
Klabu ya Manchester City imeimarisha ombi la kumsajili mashambulizi machachari wa Liverpool Raheem Sterling. Mabingwa hao wa mwaka wa 2014 wametoa pauni milioni 35 sawa na dola milioni 55 kusajili...
View Article