Hii ni orodha kamili ya washindi wa tuzo za muziki Tanzania Kilimanjaro Music Awards 2015 zilizofanyika 13 June 2015 Mlinani City jijini Dar es salaam. 1. KIKUNDI BORA CHA MWAKA – BONGO FLEVA – YAMOTO BAND 2. KIKUNDI BORA CHA MWAKA TAARAB – JAHAZI MODERN TAARAB 3. BENDI BORA YA MWAKA – FM ACADEMIA 4. MSANII BORA CHIPUKIZI – BARAKA DA PRINCE 5. WIMBO BORA WENYE VIONJO VYA ASILI YA KITANZANIA (WAITE) -MRISHO MPOTO FT. FELLY KANO 6. WIMBO BORA WA ZOUK/RHUMBA – NITAMPATA WAPI – DIAMOND PLATINUMZ 7. WIMBO BORA WA AFRO POP – MWANA ALI KIBA 8. VIDEO BORA YA MWANAMUZIKI YA MWAKA – MDOGOMDOGO – DIAMOND PLATINUMZ 9. MTAYARISHAJI BORA WA MWAKA BENDI – ENRICO 10. MTAYARISHAJI BORA WA NYIMBO WA MWAKA BONGO FLEVA – NAHREEL 11. MTUNZI BORA WA MWAKA- HIP HOP – JOH MAKINI 12. MTUNZI BORA WA MWAKA BENDI – JOSE MARA 13. MTUNZI BORA WA MWAKA BONGO FLEVA – ALI KIBA 14. MTUNZI BORA WA MWAKA TAARAB- MZEE YUSSUF 15. MTUMBUIZAJI BORA WA MUZIKI WA MWAKA WA KIUME – ALI KIBA 16. MTUMBUIZAJI BORA WA MUZIKI WA MWAKA WA KIKE – VENESSA MDEE 17. MWIMBAJI BORA WA KIUME TAARAB – MZEE YUSSUF 18. MWIMBAJI BORA WA KIUME BONGO FLEVA – ALI KIBA 19. MWIMBAJI BORA WA KIKE TAARAB – ISHA MASHAUZI 20. MWIMBAJI BORA WA KIKE BONGO FLEVA – VANESSA MDEE 21. WIMBO BORA WA TAARAB (MAPENZI HAYANA DHAMANA)- ISHA MASHAUZI 22. WIMBO BORA WA MWAKA (MWANA)- ALI KIBA 23. WIMBO BORA WA KISWAHILI BENDI (WALEWALE) -VIJANA WA NGWASUMA 24. WIMBO BORA WA R&B (SIKSIKII)- JUX 25. RAPA BORA WA HIP HOP – KIPI SIJASIKIA ( PROF J FT. DIAMOND PLATINUMZ) 26. MSANII BORA WA HIP HOP – JOH MAKINI 27. WIMBO BORA WA AFRIKA MASHARIKI (SURA YAKO) – SAUTI SOL FOLLOW INSTAGRAM@sosteneslekule
[via LEKULE]
Follow us @automobileheat – lists / @sectorheat