Nassari Afunguka…….Asema Ajali ya Helikopta Aliyopata ni ya Kishirikina,...
Wakati Mbunge wa Arumeru Mashariki, Joshua Nassari akisema anashindwa kuamini kilichotokea na kunusurika katika ajali ya helikopta juzi, mmiliki wa chopa hiyo, Philemon Ndesamburo amesema atanunua...
View ArticleHans Poppe azuiwa kumfuata straika Brazil
WAKATI Simba ikiwa kwenye mchakato wa kupata mshambuliaji kutoka Brazil, mchakato huo umepata kikwazo baada ya mwakilishi wa klabu hiyo aliyetakiwa kwenda Brazil kusitisha zoezi hilo. Mwenyekiti wa...
View ArticleSingano asaini Azam, Simba yamtibulia
KIUNGO mshambuliaji Ramadhani Singano ‘Messi’, amesaini mkataba wa miaka miwili kuitumikia Azam FC, ikiwa ni siku moja baada ya kutamkwa kuwa ni mchezaji huru aliyemalizana na Simba. Singano alisaini...
View ArticleNgoma: Simba tulieni sijaanza kazi
AKIFUNGA bao lake la kwanza akiwa na Yanga, mshambuliaji mpya wa timu hiyo, Donald Ngoma, raia wa Zimbabwe, ametoa kauli nzito ambayo inawahusu wapinzani wa Yanga lakini zaidi ni wapinzani wa jadi wa...
View ArticleKizungumkuti CCM, JK awataka wagombea wasinune
Dodoma/Dar. Rais Jakaya Kikwete amesema idadi ya wanachama wa CCM waliojitokeza kuwania urais ni kubwa, hivyo ni lazima wawape viongozi muda wa kuwachuja lakini akawataka wasiwanunie baada ya kufanya...
View ArticleMgombea urais Ukawa hadharani kesho
Dar es Salaam. Baada ya vikao mfululizo wiki hii, hatimaye Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) unatarajia kumtangaza mgombea urais wake kesho. Taarifa zilizopatikana jana zimeeleza kuwa baada ya kikao...
View ArticlePinda atangaza wilaya sita mpya, mkoa mmoja
Dodoma. Rais Jakaya Kikwete anamaliza utawala wake kwa kuongeza maeneo mapya ya utawala, baada ya kuridhia kuanzishwa kwa wilaya mpya sita na mkoa mmoja wa Songwe utakaofanya nchi kuwa na mikoa 31....
View ArticleMo Farah awaambia Shiiii……….. Waliombeza
Bingwa wa michuano ya Olympic ya mwaka 2012, Mohamed “Mo” Farah, ameonyesha ujasiri wa kupambana katika michuano ya Diamond League na kufanikiwa kushinda mbio za mita 5,000 usiku wa kuamkia hii leo....
View ArticleNewcastle Utd Kushusha Majembe Matano Kwa Wakati Mmoja
Meneja mpya wa klabu ya Newcastle Utd, Steve McClaren ametangaza mipango ya kufanya vyema msimu ujao wa ligi kwa kusema anahitaji kukiongezea nguvu kikosi chake. McClaren amesema anahitaji kufanya...
View ArticleHatimaye 5 Bora ya CCM Imejulikana….Lowassa Kaenguliwa Mweeeee…………………
FOLLOW INSTAGRAM@sosteneslekule [via LEKULE] Follow us @automobileheat – lists / @sectorheat
View ArticleMpasuko CCM: Nchimbi, Sophia Simba na Adam Kimbisa Wapinga Jina la Edwarad...
Habari za Hivi punde kutoka makao makuu ya CCM mkoani Dodoma ni kwamba wajumbe wa kamati kuu watatu ambao ni Dkt. Emmanuel Nchimbi, Sophia Simba na Adam Kimbisa wamepinga maamuzi ya kamati ya...
View ArticleMigiro athibitisha; kimya kimya njia ya kwenda ikulu kama inakuhusu
Ingawa hakuwa akitajwa mara kwa mara kwamba ni mmoja wa wagombea tishio, kupitishwa kwa jina la Dk Asha-Rose Migiro kuingia katika tano bora ya kuwania urais kwa tiketi ya CCM, siyo jambo la ajabu....
View ArticleMgombea Urais wa UKAWA Kuwekwa Hadharani Muda Wowote Kuanzia Leo
Hatimaye leo wabunge wote wa vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) wanakutana na viongozi wao kumchagua mgombea urais atakayeviwakilisha vyama hivyo katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 25....
View ArticleMabilioni Ya Pesa Yakamatwa Dodoma…….Membe Akanusha Kuhusika Nayo
Kuna habari zimeenea mitandaoni kwamba kuna mtu ambae amekamatwa na mabilioni ya pesa Dodoma, kingine ni kwamba amekamatwa na simu ikiwa na maelekezo kwamba pesa hizo ni za kuwapatia Wajumbe. Waziri...
View ArticleKingunge Atabiri Anguko la CCM Iwapo Chama Hicho Hakitapitisha Mgombea...
Kingunge Ngombare Mwiru, ambaye ni kada mkongwe wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), ametabiri anguko na mpasuko mkubwa ndani chama hicho katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu, endapo chama hicho kitaacha...
View ArticlePolisi Wenye Mbwa Waongezwa Dodoma Kudhibiti Waandamanaji……..Wafuasi wa...
FOLLOW INSTAGRAM@lekule86 [via LEKULE] Follow us @automobileheat – lists / @sectorheat
View ArticleWapambe wa Lowassa Bado Wamekinukisha(SOSTENESLEKULE.BLOGSPOT.COM)
FOLLOW INSTAGRAM@lekule86 [via LEKULE] Follow us @automobileheat – lists / @sectorheat
View Article"Wanamuziki wa Kike wa Hip Hop tunabaniwa"– Chiku
Chiku K amesema kuwa “madem” wanaofanya muziki wa Hip Hop kila wanapotoa ngoma hawapewi saporti ya kutosha hivyo kuwafanya krudi nyuma. Pia Chiku K amesema kwa kuwa kwa sasa muziki wa kuimba ndiyo...
View ArticleUkawa ngoma nzito, waahirisha kumtaja mgombea urais
Dar es Salaam . Mvutano mkali ulioibuka jana katika kikao cha vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) kumchagua mgombea urais atakayeviwakilisha katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 25,...
View ArticleElectromagnetic Induction: Conductor to Conductor & Transformers
Mutual Inductance Using a shared magnetic field, one coil transfers power to another. Have you ever seen a power transformer on a utility pole? Or how about an AC adapter? Maybe you’ve used a...
View Article