Uhamiaji Mkoa wa Singida yawakamata Warundi walioingia nchini kinyume cha sheria
Baadhi ya raia wa nchini Burundi walioingia nchini kinyume cha sheria wakiwa kwenye ofisi za idara ya Uhamiaji Mkoa wa Singida wakisubiri kurudishwa kwao wakiwa chini ya ulinzi wa askari wa kikosi cha...
View ArticleUchaguzi Guinea:Alpha Conde aongoza
Alpha Conde Matokeo ya duru ya kwanza ya uchaguzi wa urais nchini Guinea yanaonyesha kuwa rais wa sasa Alpha Conde ameshinda kura za kutosha kuzuia kuwepo duru ya pili ya uchaguzi. Huku asilimia 90 ya...
View ArticleWhat is LPG and natural gas?
What is LPG? Liquefied Petroleum Gas (LPG) is the generic name for mixtures of hydrocarbons (mainly propane and butane) stored in the liquid state. LPG is colourless, odourless and heavier than air....
View ArticleCamping appliance safety
Carbon monoxide poisoning Camping appliances need air. In New Zealand, the majority of deaths associated with the use of camping appliances have been attributed to carbon monoxide (CO) poisoning....
View ArticleThree Gorges Dam: The world’s largest hydroelectric plant
In 2012, the Three Gorges Dam in China took over the #1 spot of the largest hydroelectric dam (in electricity production), replacing the Itaipú hydroelectric power plant in Brazil and Paraguay. The...
View ArticleMidahalo Ya Wenzetu Kwa Wagombea Urais..
Nimepata kufuatilia mchuano wa Bush (Baba) na Clinton mwaka 1992. Bush na Clinton kwa pamoja hawakupenda kuwa na Ross Perrot kwenye mdahalo kwa sababu za kimkakati. Stretegists wa CCM baada ya...
View ArticleCENI yathibitisha ushindi wa Alpha Condé
Tume huru ya Ucgauzi (CENI) imetangaza mataokeo ya uchaguzi, ambapo Rais Alpha Condé ameibuka mshindi kwa kupata 57,85% ya kura. Na RFI Rais Alpha Condé ameshinda rasmi katika duru ya kwanza ya...
View Article4 Things Makers Can Learn from the Volkswagen Scandal
Important lessons from a massive mistake. If you’ve somehow managed to avoid the catastrophic and ongoing demise of Volkswagen in its emission scandal, here’s a rundown : the massive car manufacturer...
View Article6 Non-technical Ways to Be a Better Engineer
Write. Communication is always, always, always a desired skill. You will never see an Indeed posting without some variant of “strong communication skills” listed as a candidate requirement. Most...
View ArticleHow to Add Bluetooth to a Ceiling Fan
How to add BLE capabilities to a wireless ceiling fan by incorporating the nRF51 in the remote control. Overview This is part of a series of articles on the nRF51 . The nRF51 is a system-on-chip with...
View ArticleMama Lowassa Atoa Kichapo Ukumbini baada ya Kushikwa PABAYA na Mlevi
Mke wa waziri Msataafu, Mama Regina Lowassa amejikuta katika wakati mgumu baada ya mwanaume mmoja kumpapasa wakati akiingia ukumbini. Tukio hilo lilimkera mama Lowassa na...
View ArticleMasogange Anaswa Live Na Midume Miwili Hotelini
Muuza nyago maarufu Bongo, Agnes Gerald ‘Masogange’ ametia aibu baada ya kunaswa laivu hotelini akifanya yake na wanaume wawili tofauti. Kwa mujibu wa chanzo cha karibu na Masogange, tukio hilo...
View ArticlePicha za Mkutano wa Kihistoria Wa LOWASSA jana Jijini Mbeya……Ilikuwa ni Zaidi...
Mgombea Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa, akimnadi kwa wananchi Mgombea Ubunge wa Jimbo la Mbeya Mjini, Mh. Joseph Mbilinyi “Sugu”,...
View ArticleLOWASSA: Najisikia Kudeka Ninapoyaona MAFURIKO Haya………Nipeni Kura Za Kutosha...
Mgombea urais wa Chadema, Edward Lowassa amesema amejiandaa na yupo tayari kuwaongoza Watanzania akiwa rais wa awamu ya tano. Akizungumza kwenye Uwanja wa Ruanda Nzovwe- Mbeya Mjini, Lowassa...
View ArticleMbowe Afichua Njama Za CCM Kuiba Kura Usiku wa Tarehe 24
Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe, amesema wamegundua njama za kuiba kura zitakazofanywa na CCM usiku wa tarehe 24 kwa kupita mitaani na kugawa fedha za kura feki. Mbowe alitoa kauli hiyo jana...
View ArticleUKAWA Wasitisha Kampeni Ngazi Zote
VYAMA vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) vimesitisha kampeni zake ngazi zote ili kutoa fursa kwa wananchi kuaga mwili wa aliyekuwa mwenyekiti mwenza, Dk. Emmanuel Makaidi. Dk. Makaidi,...
View ArticleSababu Za Rais Kutovunja Baraza La Mawaziri Hadi Sasa Zawekwa Wazi
Mwanasheria Mkuu wa Serikali, George Masaju ametoa mwongozo wa kisheria kufuatia sintofahamu iliyoibuka kwa baadhi ya watanzania kuhusu sababu zilizosambaa kwenye mitandao ya kijamii kuhusu kutovunjwa...
View ArticleRais Kikwete akumbushwa kutangaza mali alizochuma kabla ya kung’atuka
Mkurugenzi wa Idara ya Utetezi na Maboresho kutoka Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), Harold Sungusia, amemkumbusha Rais Jakaya Kikwete, asiondoke kimyakimya bila kutangaza au kuorodhesha...
View ArticleMasha akamatwa na polisi kwa kufanya kampeni kambi ya wakimbizi
Aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani, Lawrence Masha pamoja na viongozi wengine wa Chadema Wilaya ya Mpanda, wamekamatwa na polisi leo , kwa kile kinachodaiwa kufanya kampeni katika kambi ya wakimbizi...
View ArticleSerikali yatakiwa kudhibiti viashiria vya uvunjifu wa amani
Kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 25, serikali imetakiwa kukabiliana na viashiria vya uvunjifu wa amani na kuvipatia ufumbuzi ili kuhakikisha uchaguzi huru na wa haki. Hayo yameelezwa na Mwenyekiti wa...
View Article